Picha:Rupie 1 DOA 1893 mbele.JPG
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukubwa wa hakikisho hili: piseli 591 x 599
Ukubwa wa awali (piseli 1,674 × 1,698, saizi ya faili: 691 KB, aina ya MIME: image/jpeg)
[hariri] Muhtasari
Upande wa mbele wa sarafu za Rupie katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Picha ni nembo la Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki iliyotoa sarafu za koloni hadi 1904. Namba ni mwaka wa toleo la sarafu. Maandishi ni jina la kampuni kwa Kijerumani "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" pamoja na thamani yake "Eine Rupie" (rupia moja).
[hariri] Hatimiliki:
| Mimi, nikiwa muumbaji au mtengenezaji wa kazi hii, naikabidhi kwa uwanja wa umma. Hii inakubalika dunia nzima. Kwa ajili ya matumizi huria ya mtu yeyote mahali popote, |
Historia ya faili
Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.
| Tarehe/Saa | Picha ndogo | Vipimo | Mtumiaji | Maelezo | |
|---|---|---|---|---|---|
| sasa hivi | 15:29, 24 Januari 2009 | 1,674×1,698 (691 KB) | Kipala (Majadiliano | michango) | (Upande wa mbele wa sarafu za Rupie katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Picha ni nembo la Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki iliyotoa sarafu za koloni hadi 1904. Namba ni mwaka wa toleo la sarafu. ) |
- Tumia programu ya nje kuhariri faili hii (Ona maelezo (kwa Kiingereza) kwa maarifa mengine.)
Viungo vya mafaili
Ukurasa huu zimeunganishwa na faili hili:
